Redmi Tanzania
Redmi Watch 5 Active β Smartwatch ya Kisasa kwa Afya na Michezo
Redmi Watch 5 Active β Smartwatch ya Kisasa kwa Afya na Michezo
Couldn't load pickup availability
Redmi Watch 5 Active ni smartwatch ya kisasa kutoka Xiaomi iliyotengenezwa kwa ajili ya afya na maisha ya kila siku. Saa hii ina muonekano wa kisasa, betri ya kudumu, na vipengele vingi vya kufuatilia afya na mazoezi. Iwe unakimbia, unafanya mazoezi ya gym, au unataka kudhibiti usingizi na mapigo ya moyo β Mi Watch 5 Active ni mshirika bora.
Vipengele Muhimu:
-
π Kioo cha HD β kinachoonyesha wazi taarifa zako.
-
β±οΈ Modes za Michezo Zaidi ya 100 β ikiwemo kukimbia, kuogelea, yoga na zaidi.
-
β€οΈ Health Monitoring β inafuatilia mapigo ya moyo, oksijeni ya damu (SpOβ) na usingizi.
-
π Betri ya Kudumu β inafanya kazi siku nyingi kwa chaji moja.
-
π± Smart Notifications β Pokea simu, meseji na arifa moja kwa moja kwenye mkono wako.
-
π§ Water Resistant β inaweza kutumika hata ukiwa kwenye mvua au kuogelea.
Share



Collapsible content
Why Buy From Us?
β
100% Original Redmi Products
π Fast Delivery in Dar es Salaam
π Secure Payment Guaranteed
β
7 Days Easy Return Policy