Skip to product information
1 of 2

Xiaomi

Redmi Pad 2 (4GB+128GB) – Tablet Kubwa 11” yenye Betri 9000mAh

Redmi Pad 2 (4GB+128GB) – Tablet Kubwa 11” yenye Betri 9000mAh

Regular price 490,000.00 TZS
Regular price 550,000.00 TZS Sale price 490,000.00 TZS
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.

Redmi Pad 2 ni tablet ya kisasa iliyoundwa kwa kazi, burudani na michezo. Ina screen kubwa ya 11” yenye rangi ang’avu, RAM 4GB to 8GB na storage 128GB, pamoja na betri kubwa ya 9000mAh inayohakikisha unaweza kutumia muda mrefu bila kuchaji mara kwa mara. Tablet hii inakufaa kwa kuangalia movie, kucheza game, kufanya kazi ofisini, au kutumia apps za kila siku.


Vipengele Muhimu:

  • 🌟 Screen 11” Full HD – kioo kikubwa, rangi safi na mwanga mkali kwa movies na michezo.

  • 🔋 Betri 9000mAh – hudumu muda mrefu, hakuna wasiwasi wa kuchaji mara kwa mara.

  • Performance – 4GB RAM(Extendable to 8) + 128GB ROM, inafaa kwa apps nyingi na multitasking.

  • 🎮 Burudani & Michezo – graphics nzuri kwa movies, video streaming na gaming.

  • 📱 Connectivity – Wi-Fi, Bluetooth, na ports mbalimbali kwa urahisi wa kuunganisha vifaa.

  • 💼 Kazi & Productivity – inafaa kwa ofisi apps, online classes, na kazi za kila siku.

  • SimCard -Single line
View full details

Collapsible content

Why Buy From Us?

✅ 100% Original Redmi Products
🚚 Fast Delivery in Dar es Salaam
🔒 Secure Payment Guaranteed
✅ 7 Days Easy Return Policy